Ziwa Ladoga
Mandhari
| Ziwa Ladoga | |
|---|---|
| Mito ya kutoka | Neva |
| Nchi za beseni | Russia |
| Eneo la maji | 17870 km2 |
| Kina kikubwa | 230 m |
| Mjao | 838 km3 |
Ziwa Ladoga (Kirusi:Ладожское озеро, Ladozhskoe ozero, yaani, Ziwa Ladozhskoe;) ni ziwa la Urusi. Liko baina ya mkoa wa Leningrad Oblast na Karelia.
Lina ukubwa wa kilomita za mraba zipatazo 17,870.