Kande
Mandhari
(Elekezwa kutoka Makande)

Kande ni chakula kinachopikwa kwa kuchanganya punje za mahindi na maharagwe au kunde, lakini pia maboga
au ni jina la chakula cha asili cha Kenya kinachotengenezwa kwa kuchanganya mahindi na maharagwe yaliyochemshwa pamoja.
(pia huitwa mutheri au mûthekia-ngûkû) ni chakula cha kitamaduni cha Kenya kinachojumuisha punje za mahindi na kunde (hasa maharagwe) zilizochanganywa na kuchemshwa pamoja. Mahindi na maharagwe huchanganywa kwenye sufuria, na maji huongezwa, kisha mchanganyiko huo huchemshwa hadi uive vizuri.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kande kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |